Kulalamika sio Suluhisho la Ukosefu wa Ajira!! Changamkia fursa Wasikie toka kwako sio wewe usikie toka kwao!!!
Ajira kwa vijana limekuwa tatizo la kitaifa lakin ni kweli kwamba fursa hakuna? sio kweli kwani fursa zipo nyingi ni jinsi mtu anavyoweza kufumbua macho nakuziona na kuchangamka... ........................Wahi wasikie toka kwako sio wewe usikie toka kwao!!! ...............kumekuwa na kathumba ambayo ndiyo inaturudisha nyuma kwani mara nyingi watu hawapendi wengine wasikie toka kwao bali hupenda kusikia kutoka kwa wengine hivyo wanashindwa kuchangamkia fursa haswa ikiwa ni mpya au inatumia teknolojia mpya ....ambapo matokeo yake huwa ni kukopi kutoka kwa wengine tuuuu!!!!! Kwasasa tuna fursa ya Biashara kwa kuwa Wakala kwa kutumia mtambo wa Nanofilter unaochuja maji ili yawe safi na salama!!.........baada ya hapo unafungasha kwenye chupa na kuuza kwa bei nafuu sana kwa watu wote......ili watu waondokane na tatizo sugu la maradhi ya tumbo na Amoeba........lakin pia kemikali hatarishi na zaidi sana kuondokana na tatizo la flouride inayoharibu meno na Mifupa....... ..............wah...