Nanofilter-Water Purifier!!-
Kama Masuala haya ni hitaji lako basi usisite kuwasiliana nasi! Tutajisikia furaha kukuhudumia!! 1. Je, unahitaji Kuongeza Kipato? Kama jibu lako ni Yes, basi Nanofilter Tz hatupo mbali nawe kwani unaweza kutumia mtambo wa Nanofilter kutoa huduma ya maji safi na salama kwa jamii inayokuzunguka. 2. Kupima Maji Unahitaji Kupima Maji yako ili kujihakikishia usalama wa maji yako? Karibu tukuhidumie-Maabara ya Water Test Analysis Ipo Njiro Nane Nane...njoo na maji kidogo kwenye chupa tukupimie kwa gharama nafuuu sana 3.Unahitaji Kuondokana na Tatizo la # Flouride ? Karibu sana tukuhudumie kwani Mtambo wetu wa # Nanofilter unaondoa flouride inayoharibu meno na mifupa. 4.Umechoka Kusumbuliwa na Typhoid na Amoeba? Haya ni Magonjwa ambayo huswababisha na Bacteria ambao kwa asilimia kubwa wapo Kwenye Maji tunayotumia Majumbani kwetu. Je, nini waweza fanya sasa? Karibu ujipatie mtambo wako wa Nanofilter Tz uepukane na gharama za mara k...