Nanofilter-Water Purifier!!-


Kama Masuala haya ni hitaji lako basi usisite kuwasiliana nasi! Tutajisikia furaha kukuhudumia!!
1. Je, unahitaji Kuongeza Kipato?
Kama jibu lako ni Yes, basi Nanofilter Tz hatupo mbali nawe kwani unaweza kutumia mtambo wa Nanofilter kutoa huduma ya maji safi na salama kwa jamii inayokuzunguka.
2. Kupima Maji
Unahitaji Kupima Maji yako ili kujihakikishia usalama wa maji yako? Karibu tukuhidumie-Maabara ya Water Test Analysis Ipo Njiro Nane Nane...njoo na maji kidogo kwenye chupa tukupimie kwa gharama nafuuu sana
3.Unahitaji Kuondokana na Tatizo la #Flouride?
Karibu sana tukuhudumie kwani Mtambo wetu wa #Nanofilter unaondoa flouride inayoharibu meno na mifupa.
4.Umechoka Kusumbuliwa na Typhoid na Amoeba?
Haya ni Magonjwa ambayo huswababisha na Bacteria ambao kwa asilimia kubwa wapo Kwenye Maji tunayotumia Majumbani kwetu.
Je, nini waweza fanya sasa?
Karibu ujipatie mtambo wako wa Nanofilter Tz uepukane na gharama za mara kwa mara kutibu maradhi hayo ya tumbo na pia utaondokana na gharama za kuchemsha maji.



Comments

  1. This comment has been removed by the author.

    ReplyDelete
  2. You will be able to compare them side by side and see which ones will most effectively remove the level of fluoride you want to remove from your drinking water. Kitchenhomelet.com is great source of water filters that remove fluoride.

    ReplyDelete
  3. Great Post!!
    Thank you for this really useful and extensive post. I will keep it in mind, if I ever go to Water Purification Service. Pure Water 1 is a full-service water purification company with global distribution & local access.
    Thanks for sharing it.

    ReplyDelete

Post a Comment

Popular posts from this blog

Athari za Madin ya Flouride Kwa Afya yako!!

Tanzanian entrepreneur develops innovative water filter