Athari za Madin ya Flouride Kwa Afya yako!!
Shirika la afya duniani(WHO) lilipendekeza kiwango cha fluoride kwenye maji ya kunywa kiwe 0.5-1 milligram/lita. Kutokana na madhara makubwa yanayotokana na Fluoride, mataifa yaliyoendelea yanafanya mpango wa kuiondoa kabisa katika maji ya kunywa ( soma Dr Dean Burk, mgunduzi wa Biotin, amefanya kaz National Institute of Cancer marekani kwa miaka zaidi ya thelathini) Fluoride iliyo katika dawa za meno imewekwa katika kiwango kikubwa sana ndiyo maana wameandika ukimeza bahati mbaya muone daktari. Pia watoto wasimamiwe wakiwa wanaswaki! UCHAMBUZI WA MADHARA YA FLUORIDE 1.UBONGO Uchunguzi wa kina wa kisayansi unaonesha kuwa kiwango kikubwa cha fluoride kinapunguza IQ( intelligence quotiet) kwa watoto ambao bado ubongo wao haujakomaa. 2. MIFUPA Kiwango kikubwa cha fluoride kinadhoofisha mifupa na kupelekea watu wengi kuvunjika kirahisi haswa kwenye hips na kiwiko. 3. FIGO Wenye matatizo ya figo wanashauriwa kutotumia fluoride kabisa. Ina madhara kwa figo zetu(fluoride ...
Some videos are found here: http://gongalimodel.com/Water-Nanofilter.html
ReplyDelete